J REGIUS ASEMA HAYUPO KWENYE MAAUSIANO - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, January 22, 2018

J REGIUS ASEMA HAYUPO KWENYE MAAUSIANO

Mwana dada rapa wa mziki wa bongo pia ni dizainer J Regius amesema hayupo kwenye mausiano na ajawahi kuwa kwenye mausiano na alipo yeye ni bikra

Amefunguka ayo alipo kuwa anafanya maojiano na kipindi cha The joint show na kusema kuwa yeye ajawahi kuwa kwenye mausiano kabisa toka azalie baada ya kuulizwa jeh yupo kwenye mausiano au jibu

apana mimi sijawahi kuwa kwenye mausiano na siitaji mwanaume yeyote maana mimi bado nasoma myb mwanaume atakae nipenda awe tayali kunisubil nimalize masomo alisema  J Regius


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here