HAKUNA NGOMA KALI ILIYO TOKA 2017 ZAIDI YA KULIKO YA MASOSO - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, January 22, 2018

HAKUNA NGOMA KALI ILIYO TOKA 2017 ZAIDI YA KULIKO YA MASOSO

Rappah masoso anae fanya powa kupitia mziki wa bongo fleva amefunguka na kusema kwa mwaka 2017 ajaona ngoma kali iliyo toka zaidi ya ngoma yake itwayo KULIKO

Rapa uyo alizungumza ayo alipo kuwa anaojiwa na kipind cha The joint show alipo kuwa kwenye maojiano mwanzoni mwa mwaka 2018 na kuuliza kwa upande wake anaona ni ngoma gani au msanii gani anae ona kafanya powa zaidi jibu

Mimi naona kwa mwaka 2017 sijaona ngoma iliyo fanya powa wala msanii alie fanya powa zaid yangu na ngoma yangu iliyo fanya powa ni ya kuliko

Kwa sasa rapa masoso anatamba na ngoma ya KULIKO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here