IKUPA MWAMBENJA AACHIA ALBAM YA NYIMBOZA INJILI - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, January 22, 2018

IKUPA MWAMBENJA AACHIA ALBAM YA NYIMBOZA INJILI

Mwiimbaji wa nyimbo za injili nchini TANZANIA Ikupa mwambenja ameachia albam yake leo hii inayo kwenda kwa jina la ADONAI

Mwimbaji uyo amabe anafanya vizuri kupitia wimbo wake wa UZURI WAKO kupitia ukurasa wake wa instergram amepost picha ya albam yake mpya na kuorozesha nyimbo ambazo zinapatikan kupitia albam hiyo na kuandika manene machane

ALISEM Shalom watu wa mungu ile albam iliyo kuwa inasubiliwa kwa hamu sasa ipo tayali wapendwa wangu na imefanyika baraka sana kwenye maisha ya wengi ukitaka kubarikiwa zaidi unaweza kupata dvd hii kwa no za sim 0654787419 nitakuretea popote uripo kwa sh 5000/= mungu awabariki sana nawapenda wapendwa wangu ALISEMA ikupa mwambenja

lakini albam iyo inanyimbo 8 kama vile 1-UZURI WAKO 2-ADONAI 3- YU MWEMA 4-NI WEWE 5-NASUBIRI 6-SINTOACHA 7-NIMEMUONA 8-UPENDO WAKO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here