Moja ya wanawake wenye mvuto wa kipekee jijini mbeya na ambao mwaka 2018 toka uanze wamekuwa wanamvuto wa kipekee kwa wasanii wa mbeya na kutamani kufanya nao kazi katika video mbali mbali kama video queen
moja ya wasanii wakongwe kwenye gem ya bongo fleva shomillo alieleza hisia zake kuwa anavutiwa sana na hawa wa dada ambao ni familly moja na alieleza endapo atapata nafasi ya kuwasiliana nao basi mmoja kati yao anatamani afanye nae kazi kweny video yake mpya ambayo anategemea kuifanyia BAGAMOYO.
No comments:
Post a Comment