Mzee wa Miaka 60 Ameuwawa na Kukatwa Sehemu za Sir - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 1, 2017

Mzee wa Miaka 60 Ameuwawa na Kukatwa Sehemu za Sir


Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wanafanya uchunguzi juu ya tukio la kuuawa kwa mzee wa miaka 60 na mwili wake kutelekezwa barabarani,

Mwili huo ambao uligunduliwa leo asubuhi katika eneo la Riruta huku sehemu zake za siri kukutwa zikiwa zimekatwa.
Mwili huo wa marehemu ambao bado haujajulikana ni nani, umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti wakati uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo ukiendelea

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here