Keisha Atoa Maneno Haya Kuhusu Ndoa ya Irene Uwoya, Dogo Janja Ambayo Yamewachanganya Watu - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 1, 2017

Keisha Atoa Maneno Haya Kuhusu Ndoa ya Irene Uwoya, Dogo Janja Ambayo Yamewachanganya Watu


Gumzo jingine kuanzia weekend iliyopita ni taarifa za ndoa ya Msanii Dogo Janja ikidaiwa kwamba kamuoa Mwigizaji Irene Uwoya ambapo tayari wawili hao waliandika kwenye mitandao yao ya kijamii kuonyesha kwamba ni kweli wameoana.

Pamoja na hayo leo Msanii wa Bongofleva Keisha ambae alionekana kwenye picha ya pamoja siku ya tukio ameandika maneno ambayo yameonekana kuwachanganya watu baada ya kuonyesha kwamba ile ilikua ni video na itaachiwa hivi karibuni hivyo akawashukuru kina Dogo Janja kwa kuhudhuria.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here