WIZKID ATIMIZA NDOTO ZA PRODUCER WA MUZIKI - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 31, 2017

WIZKID ATIMIZA NDOTO ZA PRODUCER WA MUZIKI

Producer chipukizi nchini Nigeria huenda akatimiza ndoto zake kwa kufanya kazi na msanii mkubwa kabisa nchini Afrika Wizkid a.k.a Star boy…
hii ni baada ya producer huyo kuweka kipande kidogo cha beat alilotengeneza na kisha kutweet post kupitia ukurasa wake wa twitter akisema
imagine if @Wizkidayo jumps on this.
akimaanisha “fikiria kama wizkid angeruka na hili beat
cha kushangaza nae wizkid amejibu katika post hiyo kwa kusema “Send dat to me!”
kwa maana hiyo huenda producer huyo akatimiza ndoto zake kwa kufanya kazi na wizkid endapo wizkid atakubali beat hilo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here