HAKUNA NDOA KATI YA DOGO JANJA NA IRENE UWOYA - TRUST ME

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 31, 2017

HAKUNA NDOA KATI YA DOGO JANJA NA IRENE UWOYA

Baada ya story na picha kusambaa katika mitandao ya kijamii hasa instagram kuwa msanii dogojanja amefunga ndoa na muigizaji Irene uwoya basi ukweli umefahamika…
hii imekuja baada ya msanii Keisha kupitia ukurasa wake wa Instagram kupost picha ya pamoja akiwa na @babutale @madeeali @kassimmganga @dogojanjatz na ireneuwoya8
na kuandika “Ahsanteni sana familia yangu kwa ushirikiano wenu the real queen of bongoflava is back the video is cumin soon” #therealqueenisback @babutale @madeeali @kassimmganga @dogojanjatz
Je bado unaamini kuna ndoa kati ya dogo janja na Irene uwoya? waweza kudondosha comment yako pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here