Msanii wa muziki Bongo, Ruby ameamua kuwatia moyo watu ambao wamekata tamaa na vitu wanavyovifanya.
Mrembo huyo mwenye sauti adimu ametoa rahi hiyo kupitia ukurasa wake wa
mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuwaandikia ujumbe usomekao
‘Sometimes you gottaloose to win again #jesusdidit mwakawamaajabu’ ujumbe huu umekuja ikiwa ni siku chache kupita
tokea kuachiwa kwa video mtandaoni ikimwonyesha akiimba wimbo wa kumshukuru mungu uitwao
‘Sitabaki Kama Nilivyo’ wa Joel Lwaga, ambapo mashabiki walimpa moyo na kumwambia kuwa ni msanii mweny kipaji cha utofauti.
Sio hao tu bali hata Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mh. Paul Makonda
aliweka video hiyo na kuandikia ‘Mchukue huyu Yesu uone kama kuna mtu wa
kukuzuia watajaribu lakini hawatafanikiwa ,hatimaye watajiunga na wewe.
Y because you become unstoppable’, wengine ni Meneja wa kundila Tip Top
Connection Babu Tale.
Ruby amewahi kuavhia ngoma kama ‘ Na Yule’, ‘Forever’, ‘Sijutii’ na
nyinginezo. Pia ameshafanya kazi na wasinii kama Abdu Kiba, Baraka The
Prince, Wakazi na wengineo.
Post Top Ad
Saturday, January 20, 2018

Kuna Wakati Unatakiwa Ushindwe ili Ushinde – Ruby
Tags
# ENTERTAINMENT
Share This
About AgufabiTz
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Newer Article
Mchezaji Juma Nyosa Aingia Matatani Tena Baada ya Kumshushia Kipigo Shabiki Mpaka Kuzirai Leo
J REGIUS ASEMA HAYUPO KWENYE MAAUSIANO
AgufabiTzJan 22, 2018HAKUNA NGOMA KALI ILIYO TOKA 2017 ZAIDI YA KULIKO YA MASOSO
AgufabiTzJan 22, 2018WANAWAKE WENYE USHAWISHI MKUBWA KWA WASANII MBEYA
AgufabiTzJan 22, 2018
Labels:
ENTERTAINMENT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment